book cover

ZAPHARANI (NDIVYO NILIVYO)

By: skylinestories

Kutana na Mimi hapa Zapharani msichana ambaye siwezi kukaa na kitu rohoni nikiona kitu ni lazima niseme, mimi ni mcharuko,mkorofi na mtu wa kusababisha matatizo kila sehemu ninayo pita.mimi unaweza kuniita malkia wa machafuko a.k.a Ranii,lakini ukija suala la kichwani zilikuwepo kwani nilipata GPA nzuri tu kipindi namaliza chuo ila sasa jamani mwenzenu siwezi kutulia.


Namba ya Simu