book cover

WRONG NUMBER

By: husqerbaltazar

WRONG NUMBER ni simulizi inayomuhusu bibie zinath ambae alitoka kufumania mwanaume wake, akiwa katika majonzi mara simu yake iliita na alienda kupokea ilikuwa namba ngeni, alisikia sauti ya kiume ambayo ilimuimba arudishe kiwango kikubwa Cha pesa kwa sababu alikuwa amekosea kutuma na zinath bila hiyana akarudisha hizo pesa na yule kijana alimuona zinath ni kama bint wa kipekee sana, akampigia na kutaman urafiki nae lakin zinath alishindwa kuongea na kuanza kulia na ndipo alipomsimulia kuwa amemfumania mwanaume wake, yule mwanaume akaahidi kumsaidia kumuweka sawa na kumkomesha huyo mwanaume, na kupanga siku ya kukutana na walipokutana zinath anakuja kukutana na kijana Fahad ambae alikuwa ni handsome kupitiliza na anasauti tamu sana na akahisi kumpenda ila aliona kama sio mwanaume wa hadhi yake, ila Fahad akamsaidia kumsahau mwanaume aliemsalitu na kutaka kuanzisha mahusiano na zinath maana akivutiwa na tabia zake, unafikiri Nini kitatikea kwa wawili Hawa ... Ni WRONG NUMBER usikose


Namba ya Simu