book cover

SAILAH (Binti boss )

By: simulizi

SAILAH (binti boss) Hivi umeshawai kukutana na mabinti ambao wanaishi maisha safi ? Vipi kuhusiana na tabia zao ? Achana na maswali mengi, majibu utayapata kwa sailah binti boss Sailah amelelewa kwenye maisha safi, anafanyiwa kila kitu, najisikia, apendi watu wengine. Marafiki zake wote ni wale wa maisha safi. Sailah anakutana na saddy kijana wa kimaisikini ambaye atamdharau sana unataka kujua mwisho wa sailah twende ndani...❤️💃


Namba ya Simu