book cover

NDOA YA MKATABA

By: smileshine

Ndoa ya mkataba Ni simulizi inayomzungumzia kijana tajiri Jerome ambae alimfumania mpenzi wake siku ya kumvalisha Pete ya uchumba Jerome anaamua kuondoka kimnyakimnya bila wao kumuona . Jioni Jerome anaenda kwenye shughuli ya kumvalisha Pete mchumba wake. Baada ya sherehe kuanza Jerome anabadili maamuzi anavunja uchumba wake na Simi bila kusema sababu na kumchumbia Lulu ( dada wa kuathili wa Simi) kitendo hicho kinawaacha mdomo wazi watu wote lakini Jerome hakujali aliondoka na kumuacha msala Lulu ambae alizidi kuchukiwa na Simi pamoja na mama yake. Masimango na mateso yanazidi kwa Lulu Mwisho wa siku jerome anaenda kumchukua wanakubaliana kufunga ndoa ya mkataba wote wawili wakiwa hawapendani wanafuata vifungu vya Sheria walizowekeana. Na kusaini mkataba. Je Nini kitatokea Kati ya Hawa wanandoa wawili?


Namba ya Simu