book cover

LINDA NA MR CEO

By: husqerbaltazar

Ni simulizi inayomuhusu Linda bint ambae ni yatima, katika harakat za kutafuta kazi akapata kazi ya siku Moja baa, na kwa bahat mbaya kuna kijana jeuri Alex Alimuita ili amuhudumie na Alex kutokana na kuwa hawaheshimu WAnawake akamshika kalio na kupelekea Linda kumuwasha kibao, katika harakat za kutafuta kazi anakuja kuomba kazi kwenye kampuni ya Alex na kuwa personal assistant wake na Alex anampitisha bils interview ili amkomoe kwa kumpiga kibao siku chache nyuma, ila mambo hayawi kama alivyo panga maana wazaz wa alex wanakuja na kumtaka Alex amyambulishe mpenzi wake na kwakuwa alikuwa ni playboy anamuomba linda aigize kuwa mpenzi wake kwa muda ili kuwaridhisha wazaz wake na atamlipa ila mwisho wa siku mioyo inagingana na wakajikuta wanapenda, unadhan penzi lao LITAKUWA je,.usikose Linda na Mr ceo hapa


Namba ya Simu