book cover

DEBORAH (UA LA IMANI)

By: rithastories

DEBORAH (UA LA IMANI) Mara nyingi tunaumizwa na watu wetu wa karibu watu tunaowaamini na kuwapenda . Kutana na Binti anaefahamika kwa jina la Debora ,binti huyu aliingia kwenye maisha ya mateso na maumivu na hii ni baada ya kuchukuliwa kijijin na mdogo wa mama yake kwa lengo la kuja kuishi nae lakin kumbe nyuma ya pazia alikuwa na mpango mchafu juu ya Binti huyo . Je ni mpango gani huo na nini hatima ya binti huyo songa nami katika kisa hiki kilichojaa mafunzo .


Namba ya Simu