book cover

BY FIRE BY FORCE

By: trisha

*BY FIRE BY FORCE* 🔥 ❤️ Hivu unapata picha gani unaposikia neno *_BY FIRE BY FORCE ??*_ Kutana na kijana Aiden ambaye anaangukia kwenye penzi zito la binti aahana wa kiindi binti machachali kabisa aliyejaaliwa roho ya utu. Aiden anaachana na uahalisia wa maisha yake na kwenda kuishi nyumbani kwa kina aahana akiwa kama *_goalkeeper_* yaani mlinzi wa getini bhana 😂🙌🏿. Aiden anakubali visa na Mikasa yote katika nyumba hiyo akiwa na lengo la kumpata binti huyo wa boss wake *_aahana_* . Hivi unafikili Aiden atakubaliwa na aahana na familia itampokea kweli ? Tukutane leo ndani ndani tukajue nini kinajili kwenye kigongo kipya kabisa cha *_BY FIRE BY FORCE*._


Namba ya Simu