book cover

BILLIONAIRE HIDDEN SON

By: husqerbaltazar

Mark kijana wa billionea Franco ambae hakuwa anajulikana, baba yake anamuomba amsaidie kuendesha kampuni yake, mark hakuwa anataka kujulikana kutokana na kutopenda maisha ya usuperstar anakataa, ila baba yake anaanza kuuguwa na baada ya kuugua anaamua akubali na siku anayofika mara ya kwanza kazin anapamiana na bint Paulina, bmark anajikuta anampenda Paulina kwa kumuona siku ya kwanza na kuanza kumfutilia na anakuja kugindua kuwa Paulina hapendi wanaume matajiri so mark anaamua kukifanya mfanya usafi akiamin kufanya hivyo kuna weza kuteka moyo wa Paulina,na akajikuta mchana kutwa anajifanya mfanya usafi ila usiku anafanya majukum ya kazi aliyopewa na baba yake, lakin kila alipopata nafasi alipambana awe karibu na Paulina na Alitaka Paulina amjue kama mtu ambae Hana kitu akiamin kufanya hivyo kuna uwezekano wa kuyteka moyo wa Paulina ,unadhan ni ipi itakuwa hatma ya watu Hawa wawili


Namba ya Simu